JK AMKABIDHI MLEMAVU MSAADA WA BAJAJ

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi bajaji mpya mlemavu wa miguu ambaye ni mfanyakazi wa TANROADS Bi.Sarah Nalingigwa Nkumbo huko ikulu mjini Dodoma leo asubuhi. Kulia ni Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli.Wapili kushoto ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete na kushoto ni mkurugenzi Mkuu wa TANROADS Injinia Patrick Mfugale. Bi. Sarah ambaye ni Mfanyakazi wa TANROADS mkoani Singida alikabidhiwa Bajaji hiyo ikiwa ni ahadi ya Rais alipokuwa akifungua Barabara ya Manyoni- Itigi    (picha na Freddy Maro)




Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA