LIGI KUU YA GRAND MALT ZANZIBAR YASHIKA KASI

 Athman China wa Mundu (kulia) akiwania mpira na Shaban Msafiri wa Chuoni katika pambano la Ligi Kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kati ya timu ya Chuoni na Mundu kwenye uwanja wa MaoTse Tung mjini Zanzibar jana.Chuoni iliichabanga Mundu mabao 2 - 0.(Picha zote na Martin Kabemba)
 Mlinzi wa Chuoni, Ahmed Salum (kushoto) akipambana na mshambuliaji Japhet Mamboleo wa Mundu kwenye uwanja wa Mao Tse Tung jana, ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar. Chuoni 2 Mundu 0.
 Mlinzi Athman Mohamed wa Mundu (kulia) akimiliki mpira mbele ya Ameir Amour wa Chuoni.
 Mlinzi Athman Mohamed wa Mundu (mbele) akimzuia mshambuliaji wa Chuoni, Ameir Amour.
Saleh Hamad wa Chuoni (kushoto) akichuana na Alias Juma wa Mundu.
 ajab Mzee wa Chuoni (kushoto) akipambana na Alias Juma wa Mundu, ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar, uwanja wa Mao Tse Tung jana. Chuoni 2 Mundu 0.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.