MADUKA 18 YAUNGUA MOTO STENDI MWENGE

 Wamiliki wa maduka wakiwa na bidhaa zao nje baada ya kuviokoa katika ajali ya moto uliokuwa unaunguza maduka yao katika Kituo cha Daladala cha Mwenge, Dar es Salaam leo. Zaidi ya maduka 18 ya vipondozi yalikumbwa katika mkasa huo. (PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
 Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji cha Jiji la Dar es Salaam, wakikagua baadhi ya maduka yaliathirika katika ajali hiyo.
 Moja ya duka lililoungua paa
 Wafanyabiashara wa maduka hayo wakiokoa bidhaa zao. (PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
                                Asilimia ya vipodozi vikiwa nje baada ya kuviokoa kwenye ajali hiyo
 Mmoja wa wamiliki wa maduka hayo akitafakari kuhusu ajali hiyo
                                               Askari wa kike akilinda doria eneo hilo
 Binti mfanyabiashara wa moja ya maduka hayo akiwa na huzuni
 Mmoja wa maofisa wa Kikosi cha Polisi  akielezea kuhusu ajali hiyo
 Baadhi ya magari ya zimamoto yakiwa eneo la tukio
 Mmoja wa maofisa wa Zimamoto akielezea kuhusu ajali hiyo
 Wananchi wakishuhudia ajali hiyo nje ya kamba
Askari wa zimamoto wakikunja mipira yao ya maji baada ya kuuzima moto katika maduka hayo. (PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.