MAMA SALMA KIKWETE KUWA MGENI RASMI HARAMBEE YA KUSAIDIA WANAWAKE WENYE MATATIZO YA AFYA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Montage, Teddy Mapunda, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu maandalizi ya harambee ya chakula cha usiku ya kuchangia fedha za kusaidia Wanawake wenye matatizo ya afya nchini. Mgeni rasmi katika harambee hiyo itakayofanyika Februari 22, mwaka huu atakuwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete. Kulia ni Meneja
Mwenyekiti wa Kamati ya Kuratibu Harambee hiyo, Barbara Hasan (kushoto), akielezea kuhusu maandalizi hayo
                                          Waratibu wa harambee hiyo wakiwa katika picha ya pamoja

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.