MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 HAYA HAPA
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru
Kawambwa (MB) leo ametangaza rasmi matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne,
maarifa-QT.
Jumla ya watahiniwa waliofaulu kwa Mujibu wa Matokeo
hayo ni 23520 kuanzia dara la I hadi la II huku katika mchakato huo wasichana
waliofaulu katika mchakato huo ni 7178 na wavulana ni 16342.Aidha Waziri
Kawambwa amesema kuwa waliofaulu kwa daraja la kwanza ni 1641, daraja la pili ni
6495 na daraja la tatu ni 15426 na walio feli ni 24903.
Shule bora ni pamoja na St. Francis Girl ya Mbreya,
Marian Boys ya Bagamoyo, Feza Boys DSM,
Marian Girls Bagamoyo, na Rosmini ndizo zipo tano bora huku shule nyingine ni
Canosa, Jude Moshono, St. Mary Mazinde
Juu, Anwarite Girls, Kifungilo Girls, Feza Girls,Kandoto Sayansi Girls, Don
Bosco Seminary, St Joseph Millenium, .
Comments