Mchezaji Mopelo Baraka wa timu ya Chuo Kikuu Huria
Tanzania (OUT), akiwa amebebwa na wanafunzi wenzake baada ya kufunga vikapu
vingi katika mechi ya ya mpira wa kikapu dhidi ya timu ya Chuo Kikuu cha St.
Lawrence katika mashindano ya 8 ya Vyuo Vikuu Kanda ya Afrika Mashariki leo,
kwenye viwanja vya Chuo kikuu cha Dar es Salaam. Baraka ni mtoto wa Mkurugenzi
wa Bendi ya The African Stars 'Twanga Pepeta', Asha Baraka. (PICHA ZOTE NA RICHARD
MWAIKENDA)
Moja ya hekaheka iliyotokea golini mwa timu ya Chuo Kikuu cha Kenyatta cha kenya iliyosababishwa na wachezaji wa timu ya Chuo Kikuu cha Kampala kutoka Uganda, katika mchezo wa mpira wa kikapu katika mashindano ya 8 ya Vyuo Vikuu Kanda ya Afrika Mashariki jana, kwenye viwanja vya Chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Kikosi cha Timu ya Chuo Kikuu cha Moi kilichochuana na Ndejje katika mchezo wa wavu
Kocha wa Chuo Kikuu cha Ndejje cha Uganda, akitoa mawaidha kwa timu yake
Vyuo vya Moi na Ndeje vikichuana
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria Tanzania wakishangilia timi yao baada ya kupata ushindi
Mshindano ya Tai Kwondo yakiendelea
Baadhi ya wachezaji wa Tai Kwondo wakipumzika
Mchezaji Moreen Mwamu wa Chuo Kikuu cha Ndejje cha Uganda akiruka kupiga mpira kuelekea upande wa timu ya Chuo Kikuu cha Moi cha Kenya katika mchezo wa mpira wa wavu katika michauano ya 8 ya Vyuo Vikuu Kanda ya Afrika Mashariki jana, kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mchezo wa Tai Kwondo kwa wanawake ukiendelea
Comments