MSIMU WA VALENTINE NA BAILEYS KUTOKA KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI (SBL)

Kampuni ya bia ya Serengeti inaendelea kufanya kampeni maalumu kwa msimu wa valentine kwa wapenzi wa kinywaji cha Baileys kwa kutoa zawadi mbalimbali kwa wateja wao zawadi hizo zinatolewa katika supermarket za Mlimani City, Uchumi na Shoppers Plaza kwa wale watakaonunua baileys wanapata t-shirt, maua, chupa ya Baileys na kubwa zaidi ni kupata bahati ya kula chakula cha jioni katika mgahawa wa kisasa wa Akemi uliopo  jijini  Dar es Salaam.
Baada ya kununua kinywaji cha baileys, wanajaribu bahati yao kama itakua chupa nyingine ya Baileys, t-shirt, maua au chakula cha jioni katika mgahawa wa kisasa wa Akemi uliopo katikati ya jiji la Dar es Salaam.



Meneja masoko wa vinywaji vikali kutoka kampuni ya bia ya Serengeti  Emillian Rwejuna akiwaelezea wanahabari jinsi kampeni hiyo inayofanyika katika supermarket mbalimbali huku akionyesha baadhi ya zawadi ambazo wapenzi wa Baileys wanapata.



Thomas Michelis akisoma kipeperushi na kupata maelekezo kutoka kwa balozi wa kinywaji cha baileys katika supermarket ya Shoppers Plaza, kuhusu kinywaji hicho na zawadi zinazotolewa  katika msimu huu wa Valentine



Katika picha ya pamoja Thomas Michelis akiwa na mke wake baada ya kumkabidhi ua kutoka Baileys ishara ya upendo





Mteja wa Baileys akijaribu bahati yake katika msimu wa valentine ndani ya supermarket ya Shoppers Plaza


Rwejuna

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*