MTEJA WA ECOBANK AZAWADIWA GARI AINA YA HYUNDAI LA SH. MIL. 60

 Mkurugenzi Mkuu wa Ecobank Tanzania, Enoch Osei-Safo (kushoto) akimkabidhi Mkazi wa Tegeta, Ipyana Mwakasaka, ufunguo wa gari jipya  aina ya Hyundai Tucson ix35 aliloshinda katika promosheni ya Babkubwa. Gari hilo lenye thamani ya sh. mil. 60 alikabidhiwa katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam leo
  Mkurugenzi Mkuu wa Ecobank Tanzania, Enoch Osei-Safo (wa pili kulia) akiwa katika mkutano na waandishi wa habari muda mfupi kabla ya kukabidhi zawadi hiyo ya gari. (Kutoka kushoto ni Mkuu wa Bidhaa na Masoko wa Ecobank., Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi, Joyce Malai na Ndabu Swere ambaye ni Head Public Sector.
 Gari  alilokabidhiwa Ipyana Mwakasaka linavyoonekana

 Mwakasaka akiingia kwenye gari tayari kuliendesha
 Mwakasaka akipigiwa makofi alipokuwa akiingia kwenye gari hilo la kifahari
 Mwakasaka akijinoma kwenye gari hilo.
 Mwakasaka akiwapungia kwa furaha baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo na wageni waalikwa
Mwakasaka akihojiwa na wanahabari. (PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI