*MTUHUMIWA WA MAUAJI YA MWANGOSI NA ASKARI WENZAKE WATOA MPYA MAHAKAMANI, WATOKA NJE YA MAHAKAMA WAKATI KESI IKIENDELEA, WAMUOMBA RADHI HAKIMU


 Askari  Polisi  wakimrejesha  mahakamani mtuhumiwa  wa mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa Kituo cha Televisheni cha Chanel Ten na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa  wa Iringa, marehemu Daudi Mwangosi, askari  wa FFU mwenye namba G2573 Pasificus Cleophace Simoni (23) (aliyevaa kofia nyekundu)  baaada ya kutoroshwa  kizimbani kabla ya mahakama kumaliza shughuli zake, picha ya chini ikimuonesha wakati  akirudishwa ndani ya mahakama leo. 
Mtuhumiwa huyo akirejeshwa mahakamani kwa mara ya pili, haikuweza
kufahamika mara moja  kuwa mtuhumiwa huyo aliondoka mahakamani
hapo kuelekea wapi na kufanya nini, jambo lililomfanya kila mmoja
aliyekuwepo mahakamani hapo kuwashangaa, huku mtuhumiwa huyo na
askari mwenzake aliyemsindikiza, wakimuomba msahama hakimi,
jambo lililoonyesha kuwa ni dharau. 
Picha na Francis Godwin

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.