NAPE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ILAGALA, KIGOMA

 
Nape akigahua chikichi zilizotayarushwa kwa ajili ya kukamuliwa mawese, kwenye mradi wa Ilagala
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama cha Mapinduzi (CCM) Nape Nnauye akiangalia matunda ya Mchikichi ambayo yanaacheshwa katika mapipa kwaajili ya kukamua mafuta ya mawese katika Kijiji cha Ilagala, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma.
 Wana CCM wa Igalula wakiwa katika kikao cha ndani na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama cha Mapinduzi (CCM) Nape Nnauye akikagua maendeleo ya ujenzi katika Kituo cha afya Ilagala.
 Nyumba ya Daktari wa Ilagala
 
Wakazi wa Ilagala wakimsikilaza Nape Nnauye
 Nape akihutubia wakazi wa Ilagala ambao walitoa kilio chao kuwa ni mgogoro wa ardhi baina ya Kijiji na Magereza .

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA