NEW AUDIO: LADY ZHENA- MWANAUME

DAR ES SALAAM, Tanzania

Lady Zhena ni Mwanadada ambaye alitambulika katika game takriban miezi miwili iliyopita...mara baada ya kutoka na ngoma inayokwenda kwa jina la Nieleze akimshilikisha B. Barozi katika studio ya Mazuu Rec. 
Lady Zhena sasa amekuja kivingine katika mahadhi ya kwaito katika ngoma inayokwenda kwajina la MWANAUME ikifanyika katika studio za Mazuu Rec. Kwa ufupi ni mwanadada ambaye amedhamiria kutamba katika ngoma tofauti tofauti, huku akibainisha yeye kama binti amejipanga kuwa level ya juu.

Lady Zhena anatabaisha kuwa kimsingi bado hajaona kazi za artist wa kike zikifanya vizuri, ukimuweka pembeni mwanadada Lady Jay dee ambaye ndiye kivutio chake na mwenye mafanikio. Anasema yeye atahakikisha muziki wa kizazi kipya kwa akina dada unapaa juu, huku akitaadhalisha vijana wa kiume wajipange kushushwa.

Lady Zhena hivi sasa yuko kwenye maandalizi ya kutoa video ya wimbo wake mpya MWANAUME, video ambayo amenadi kuwa ya kiwango cha hali ya juu, kuanzia kwenye production, location, dressing na muonekano mzima wa video hiyo utakuwa wa tofauti.

Maudhui ya wimbo MWANAUME ni kwamba Mume amemtelekeza Mwanamke na watoto, bila ya mahitaji ya nyumbani, Mwanaume kaondoka hajulikani alipo, nyumbani shida tupu.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.