*NSSF YAWAPA MAFUNZO MAMENEJA RASIRIMALI WATU WA TAASISI ZA FEDHA NA MAKAMPUNI YA SIMU

 Baadhi ya washiriki wa semina ya Mameneja Rasirimali Watu kutoka Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu wakijaza fomu wakati wa semina iliyoandaliwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), na kufanyika kwenye Hoteli ya Oceanic Bay mjini Bagamoyo leo Januari 2, 2013.
 Baadhi ya washiriki wa semina ya Mameneja Rasirimali Watu Kutoka Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu wakipitia vipeperushi vinavyohusiana na semina hiyo.
 Meneja Kiongozi Mahusiano, Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume (kulia), akifafanua jambo wakati wa semina iliyoandaliwa na shirika hilo kwa Mameneja Rasirimali Watu kutoka Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu iliyoandaliwa na shirika hilo na kufanyika katika hoteli ya Oceanic Bay mjini Bagamoyo leo.
  Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crecentius Magori (katikati), akifungua semina ya iliyoandaliwa na shirika hilo kwa Mameneja Rasirimali Watu kutoka Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu, mjini Bagamoyo  leo Jumamosi Januari 2, 2013.
 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crecentius Magori (kushoto) akitoa mada wakati wa semina iliyoandaliwa na shirika hilo kwa Mameneja Rasirimali Watu kutoka Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu, mjini Bagamoyo leo Jumamosi Januari 2, 2013.
Washiriki wa Semina iliyoandaliwa na NSSF kwa Mameneja Rasirimali Watu wa Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu wakiwa katika picha ya pamoja.
 Meneja Kiongozi Mahusiano, Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akizungumza wakati wa Cocktail Party iliyoandaliwa na shirika hilo kwa Mameneja Rasirimali Watu kutoka Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu inayoendelea mjini Bagamoyo.
 Meneja Kiongozi Mahusiano, Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume (kulia) akibadilishana mawazo na baadhi ya washiriki wa semina ya Mameneja Rasirimali Watu kutoka Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu, mjini Bagamoyo.
 Baadhi ya washiriki wa semina hiyo.
 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crecentius Magori (kushoto) akisakata rhumba sambamba na washiriki wa semina hiyo.
 Mwimbaji wa Waswahili Band, Brian James akifanya vitu vyake.
 Baadhi ya washiriki wa semina.
 Washiriki 'wakijisevia' chakula wakati wa semina hiyo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU