SIMBA YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA LIBOLO FC

 Timu zote zikiingia Uwanjani. (Picha zote na Dande JR)
 Kikosi cha Libolo FC
 Kikosi cha Simba.
 Nahodha wa Simba, Juma Kaseja na mwenzake Maieco Antonio wakisalimia kabla ya mchezo.
 Maamuzi wa mchezo wa Simba na Libolo wakiwa katika picha ya pamoja na manahodha wa timu hizo.
 Mashabiki wa Simba.
 Beki  wa timu ya Libolo FC ya angola, Antonio Cassule akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ wakati wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliogfanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Libolo FC ilifungwa 1-0.
 Amri Kiemba akimtoka beki wa Libolo FC, Pedro Ribeiro.
 Beki wa Simba, Shomari Kapombe akimtoka beki wa Libolo FC ya Angola, Pedro Ribeiro.
 Beki wa Simba, Juma Nyoso akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Libolo FC, Antonio Cassule.
 Mshambuliaji wa Simba, Mrisho Ngasa akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Libolo FC, Gamaniel katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Libolo imeshinda 1-0. 
Kipa wa Libolo FC, Landu Mavanga akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
 Mashabiki wa Yanga wakiipa sapoti timu ya Libolo FC ya Angola.
Beki wa Simba, Shomari Kapombe akipata matibabu baada ya kuumia.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*