TAFRANI YAIBUKA BUNGENI LEO

 Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu (Chadema), kulia, akizungumza na Naibu Spika wa Bunge,  Job Ndugai (kushoto) alipoahirisha Bunge, Dodoma leo, baada ya kutokea tafrani kabla ya kuanza kujadiliwa hoja binafsi ya Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) kuhusu tatizo la maji Mkoa wa Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema), na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema). (PICHA NA MWANAKOMBO JUMAA-MAELEZO)
 Wabunge wa Kambi ya Upinzani wakiwa wamesimama bungeni wakati wa tafrani hiyo iliyosababisha bunge kuahirishwa kwabla ya muda wa kawaida

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI