Skip to main content

TAIFA STARS YAIFUMUA CAMEROON 1-0

 Aminou Bouba wa Cameroon (kulia), akijaribu kuudhibiti mpira huku akikabwa na Erasto Nyoni (4) wa Taifa Stars katika mchezo huo. Stars  imeshinda bao 1-0 lililofungwa na mchezaji wa kimataifa Mbwana Samatta baada ya kupata pasi ya Erasto Nyoni katika dakika ya lala salama ya 89.
Mashabiki wa Taifa Stars wakifuatilia mchezo huo.

 Dakika ya 89 Mbwana Samatta, ameipatia Taifa Stars bao akimalizia pasi ya Erasto Nyoni.

Taifa Stars ingepata magoli mengi katika mchezo huo, lakini Kutokuwa makini kwa wachezaji frank domayo na amri kiemba, kumeikosa stars bao zuri baada ya kupiga mpira nyongo uliyopaa juu, ikiwa dakika ya 82 ya mchezo.

Taifa Stars; Juma Kaseja, erasto nyoni, shomary kapombe, kelvin yondani, agrrey morris,abubakar salum, mrisho ngassa, frank domayo, mbwana samanta, mwinyi kazimoto na amri kiemba.

 Cameroon effala komguep, assou ekottob, aminou bouba, nyom allan, pirre wome nlend, kigue mpondo, bedimo herny, tchami herve, olinga fabrice,aboubakar vincent, ngoula patrick. Mwisho

Mpaka mapumziko si stars wala cameroon iliyopata bao. Dakika ya 25 boubakary vicent alipiga shuti hatari kwa Stars, But alipiga pembeni na kuikosesha cameroon bao.
 
 Dakika ya 27 Erasto Nyoni amekosa penati na kuinyima stars bao la kuongoza, baada ya kupanguliwa na kipa wa cameroon. Dakika ya 9 Mwinyi Kazimoto alipiga  shuti lakini kipa cameroon akadaka.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.