Juu ni Mhe, Balozi na mumewe wakiwa kwenye gari tayari kwa safari ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles.
 Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar na Mumewe Bw. Shariff Maajar, wakipata picha ya pamoja na Maofisa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani waliofika nyumbani kwake mapema jana asubuhi ya Jumatatu Feb 18, 2013 kuwaaga na kuwasindikiza uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia.
 Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar na mumewe,  Shariff Maajar, wakiwa wanaelekea kupanda ndege.
Mhe. Balozi katika picha ya pamoja na maofisa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani waliofika uwanja wa ndege wa kimataifa kuwasindikiza yeye na mumewe (hayupo pichani) waliokua wanaondoka nchini Marekani jana Jumatatu Feb 18, 2013 kurejea Tanzania baada ya Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar, kumaliza muda wake.
 Baadhi ya Maofia wa Ofisi za Ubalozi wa Tanzania, nchini Marekani, wakiwapungia kuwaaga Balozi na familia yake, wakati wakiondoka.
 Maofisa na wafanyakazi wakiwa na masikitiko huku wakiwaaga kwa macho.
Container likiletwa kwa ajili ya kupakia mizigo ya Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar, Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico aliyemaliza muda wake na RODGERS EXPORTS LLC ya North Carolina ndio imepewa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA