TIGO YANDAA SHOO BABKUBWA COCO BEACH

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Mr. Blue akielezea mbele ya wanahabari, Dar es Salaam leo, jinsi walivyojiandaa kushiriki ipasavyo katika tamasha babkubwa la Tigo la muziki wa kizazi kipya Februari 10 kwenye ufukwe wa Coco, Dar es Salaam
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Bukuku akitoa vionjo vya moja ya nyimbo zake wakati wa mkutano huo
Meneja wa Bidhaa wa Tigo, William Manga akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu maandalizi ya shoo babkubwa ya Tigo ya wasanii wa kizazi kipya inalotarajiwa kufanyika Februari 10 mwaka huu, kwenye ufukwe wa Coco, Oysterbay jijini. Kutoka kulia ni baadhi ya wasanii watakaoshiriki shoo hiyo. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Chegge naye akielezea jinsi kikundi chake cha TMK Wanaume Family kilivyojiandaa
Maofisa wa Tigo wakiwa na baadhi ya wasanii watakaoshiriki katika shoo hiyo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*