WAZIRI HUVISA TEREZYA ATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA SERENGETI

DSC03424 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akionyeshwa Mfumo wa Maji Taka na Meneja Mazingira Bw. Dominick Mariki wakati  Waziri alipofanya Ziara ya Kutembelea Kiwanda cha  Bia cha Serengeti Breweriers cha  Jijini Dar es Salaam kuangalia mazingira katika Mtaa wa Chamwenyewe Chango’mbe jijini Dar es salaam.
DSC03451 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akimsikiliza Bi. Mwaka Washokela kuhusu hali ya mazingira katika Kiwanda cha Bia cha Seregeti  Mtaa wa Chamwenyewe, Changmbe Jijini Dar es Salaam.
DSC03471 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Terezya Huvisa akimsikiliza Operesheni Meneja wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti Shekhor Mokosare, Waziri  alifanya  Ziara ya kukagua na kuangalia  hali ya  Mazingira katika  Kiwanda cha Bia cha Sereneti cha Jijini Dar es Salaam[Picha na Ali Meja]

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.