YALIYOTOKEA BUNGENI LEO

 Baadhi ya wabunge wa Jamhuri ya Muungano wakielekea katika mkutano wa kumi  kikao cha saba leo mjini Dodoma (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).

Mbunge wa  Moshi Mjini Philemon Ndesamburo (kulia) na Christowaja Mtinda (Viti Maalumu) wakielekea katika ukunbi wa Bunge – Dododma leo (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)
 Naibu Waziri wa Maendeleo ya  Jamii na  Jinsia ya Watoto Ummy Mwalimu akijibu hoja mbalimbali za Wizara yake Bungeni leo.

 wanafunzi  wa Shule ya Independence kutoka Dar es Salaam wakitambulishwa  Bungeni  leo.

Waziri wa Fedha William Mgimwa akijibu hoja ya Amina Mwindau (Viti Malumu-hayupo pichani) kuhusu  Deni la taifa limekuwa likiongezeka kwa kasi kubwa mwaka hadi mwani, na kutaka kujua  Je, serikali ina mikakati gani wa kukabiliana na deni hilo.(Picha na MAELEZO).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*