ZIARA YA MAMA SALMA KIKWETE LINDI
Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji hicho cha Nanyanje, wilaya ya Chikonje, wilaya ya Lindi mjini leo
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Kata ya Chikonje, wakimsikiliza Mama Salma Kikwete alipozungumza nao katika kikao cha ndani, kwenye Ofisi ya CCM ya Kata hiyo leo.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Mama Salma Kikwete akipokea kadi
ya CUF kutoka kwa aliyekuwa mwanachama wa chama hicho, Salma Saidi
(kushoto) baada ya kutangaza kuhamia CCM katika mkutano wa hadhara
uliofanyika kijiji cha Nanyanje, Kata ya Chikonje mkoani Lindi leo
Wanachama wapya wa CCM waliokabidhiwa kadi zao wakiwemo kutoka vyama
vya CUF na Chadema, wakila kiapo baada ya kukabidhiwa kadi zao na Mama
Salma Kikwete leoMama Salma Kikwete akishiriki kucheza ngoma ya zindiko ya wakazi wa Chikonje, iliyotumbuiza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika leo
Wananchi wakiselebuka kwa nyimbo za CCM wakati wa mkutano huo
Comments