BAADA YA ZIARA YA KINANA MOROGORO

Waandishi wa habari na maofisa wa Chama, waliokuwa katika ziara ya siku nane ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, mkoani Morogoro, wakiwa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye jana kwenye hoteli ya Arc nje kidogo ya mji wa Morogoro kabla ya kurejea kwenye vituo vyao vya kazi nje ya mkoa huo.
Baadhi ya waandishi wa habari, waliokuwa kwenye ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana mkoani Morogoro, wakipata chakula cha mchana nyumbani kwa mwandishi mwenzao wa ITV na Radio One, Ida Moshi mjini Morogoro

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI