DIAMOND APAGAWISHA MKUTANO WA CCM KATIKATI YA MVUA KUBWA

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul 'Diamond' akiwapagawisha wananchi waliofurika katika mkutano wa CCM mjini Morogoro. Licha mvua kuendelea kunyesha wananchi hawakuondoka eneo hilo. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
Wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wakiangalia shoo ya kukata na shoka ya Diamond huku wakiwa wamejifunika viti kujikinga na mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha wakati wa mkutano wa CCM kwenye kiwanja cha ndege, mjini Morogoro.


Wapenzi wa muziki wa kizazi kipya walizingira gari alilopanda Diamond baada ya kumalika kwa shoo yake.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA