FM ACADEMIA YATAMBULISHA KINYWAJI CHA WINDHOEK NEW MSASANI CLUB WAKATI WA PASAKA SANJARI NA BURUDANI SAFI YA KUKATA NA SHOKA
Mwanamuziki Katumbi Jezas akipagawisha
mashabiki wakati wa onesho la bendi hiyo lililokwenda
sanjari na utambulisho wa kinywaji cha Windhoek.
Wanenguaji wa bendi hiyo wakiwajibika jukwaani.
Wanenguaji wa bendi hiyo wakiwajibika jukwaani.
Hapa anaonesha umahiri wa kuyarudi mangoma.
Wanaendelea kulisakama jukwaa.
(Picha habari na habari za jamii blog)
Mnenguaji Suzy Crazy akiserebuka mbele ya
mashabiki waliofurika katika ukumbi huo kushuhudia
utambulisho wa kinywaji hicho sanjari na nyimbo
mpya tatu za bendi hiyo ya
mashabiki waliofurika katika ukumbi huo kushuhudia
utambulisho wa kinywaji hicho sanjari na nyimbo
mpya tatu za bendi hiyo ya
FM Academia.
Wacheza shoo wa bemdi hiyo wakitoa burudani safi kwa
mashabiki.
Wapenzi wa muziki wakiwa wamejimwaga kuserebuka
kutokana na midundo ya bendi hiyo inayo dhaminiwa na
Kampuni ya Mabibo Beer and Wines Spirit kupitia
kinywa cha Windhoek.
Wanenguaji wakiendelea kulisakama jukwaa.
Wanenguaji wakiendelea kulisakama jukwaa.
Wanenguaji wakiendelea kulisakama jukwaa.
Wanenguaji wakiendelea kulisakama jukwaa.
Wanenguaji wakiendelea kulisakama jukwaa.
Wadau mbalimbali wakitumia kinywaji cha Windhoek
ambacho kimekubalika kutokana na kutokuwa na
kilevi hivyo kutumiwa na watu mbalimbali. Kulia ni
Msemaji wa Kampuni ya Mabibo Beer and
Wines Spirit, Julius Mapunda 'MC Jobiso'
Wadau
mbalimbali wakitumia kinywaji cha Windhoek
ambacho kinasambazwa na Kampuni ya
Mabibo Beer and Wines Spirit.
Comments