HII NDIO KIWALANI JIJINI DAR ES SALAAM


Madimbwi ya maji yakiwa yamezungunga baadhi ya nyumba na barabara za mitaa katika Maeneo ya Kiwalani jijini Dar es Salaam. Hii ni kutyokana na eneo hilo kukosa miundombuni madhubuti ya kuweza kusafirisha maji yote ya mvua yanayotuama katika maeneo hayo jambo ambalo linaweza kusababisha magonjwa ya milipuko hasa Kuharisha.
Serikali haina budi kushirikiana na wakazi wa eneo hilo ili kuweza kukabiliana na hali hiyo mapema kabla madhara zaidi hayatokea na kutupiana lawama.
 Hapa ni katika kisima cha kuchotea maji safi Kiwalani lakini nacho kimezungukwa na madimbwi ya maji.
 Huku ndio kwetu Kiwalani
 Maisha yanaendelea nasisi tupo Jijini Dar es Salaam
 Kidogo hapa wa,mepanga viroba kwaajili ya kuvukia.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI