KAMANDA MWAIKENDA USO KWA USO NA WASANII MAHIRI WA MUZIKI WA INJILI MAKHABANE WA AFRIKA KUSINI NA SEKERETI WA ZAMBIA

Mkurugenzi wa Blog hii ya Kamanda wa Matukio, Kamanda Richard Mwaikenda (katikati) akiwa na wasanii mahiri wa muziki wa Injili, Sipho Makhabane (kulia) wa Afrika Kusini pamoja na  Ephraem Sekereti walioshiriki Tamasha la Pasaka kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi. Mwaikenda pia ni Mpiga Picha Mkuu wa magazeti ya Jambo Leo, Staa Spoti, Dar Metro na jarida la Jambo Brand Tanzania.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA