Sehemu ya wakulima wa miwa, wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa na wanachama wa CCM, wakiwa katika mkutano ulioitishwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kutafuta njia ya kusulhisha mgogoro kati ya kiwanda hicho na wakulima wa miwa pamoja na wafanyakaziwa kiwanda hicho leo Turiani, wilayani Mvomero, Morogoro.
Mmoja wa wakulima wa zao la miwa akelezea jinsi wanvyonyanyaswa kna uongozi wa kiwanda cha Sukari cha Mtibwa kwa kutolipwa kwa wakarti malipo yao
Mwenyekiti wa Umoja wa Wakulima wa Miwa Khadija Kondo, akielezea matatizo wanayopata wanapopeleka miwa kiwandani.
Mkurugenzi wa Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa, Hamad Yahya akijibu hoja mbalimbali zilizotolewa na washiriki wa kikao hicho kuhusy tuhuma mbalimbali zilizoelezwa kwaao,, ambazo ni wakulima kupunjwa bei, kutolipwa malipo yao kwa wakati.
Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana (kulia), akisalimiana na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa, Nassoro Seif baada ya kumalizika kwa kikao hicho. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
Mmoja wa wakulima wa zao la miwa akelezea jinsi wanvyonyanyaswa kna uongozi wa kiwanda cha Sukari cha Mtibwa kwa kutolipwa kwa wakarti malipo yao
Baadhi ya washiriki wakinyoosha mikono ili waweze kuelezea kiini cha mgogoro huo |

Comments