Ofisa raslimali watu wa Vodacom Tanzania,Bw.Stephen
Kisanko,akitoa mada kwa wanafunzi juu ya maandalizi na umuhimu wa
vijana kujiandaa katika kuingia kwenye ajira pindi wamalizapo masomo yao
ya vyuo vikuu,wakati wa warsha ya 14 inayohamasisha vijana kujianda
katika ajira warsha hiyo ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania .iliyofanyika
katika ukumbi wa Nkuruma,Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Rais wa chama cha wanafunzi wa vyuo vikuu(AIESEC)Bw.Frank
Mushi,akiongea katika warsha ya 14 inayohamasisha vijana kujianda katika
ajira pindi wanapomaliza masomo ya vyuo vikuuwarsha hiyo ilidhaminiwa
na Vodacom Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Nkuruma,Chuo kikuu cha
Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu 13 walioshiriki katika warsha
ya 14 inayohamasisha vijana kujianda katika ajira pindi wanapomaliza
masomo yao ya vyuo vikuu,warsha hiyo ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania
na kufanyika katika ukumbi wa Nkuruma,Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Ofisa raslimali watu wa Vodacom Tanzania,Bw.Stephen
Kisanko,akiongea na waandishi wa habari juu ya udhamini wa warsha ya 14
inayohamasisha vijana kujianda katika ajira pindi wanapomaliza masomo
yao ya vyuo vikuu warsha hiyo ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania na
kufanyika katika ukumbi wa Nkuruma,Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Masoko wa chama cha wanafunzi wa vyuo
vikuu(AISEC)Bw.Elvis Kashaija,akiongea na waandishi wa habari juu ya
maandalizi na umuhimu wa vijana kushiriki katika warsha ya 14
inayohamasisha vijana kujianda katika ajira pindi wanapomaliza masomo
yao ya vyuo vikuu warsha hiyo ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania na
kufanyika katika ukumbi wa Nkuruma,Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Comments