LIBOLO WAIPIGA 4-2 JUMLA EL MERREIKH, WASONGA MBELE TENA

Recreativo de Libolo ya Angola, jana imefuzu kuingia Raundi ya Tatu ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya kuifunga El Merrekih ya Sudan mabao 2-1 mjini Khartoum. Matokeo hayo, yanamaanisha, Libolo imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-2, baada ya kushinda pia 2-1 katika mchezo wa kwanza nyumbani Angola. Libolo iliingia Raundi ya Pili, baada ya kuitoa Simba SC ya Tanzania kwa jumla ya mabao 5-0, ikishinda 4-0 Angola na 1-0 Dar es Salaam. Timu hii inapewa nafasi ya kufika mbali katika michuano hii. 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.