JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
Jeshi la Ulinzi la WananChi wa Tazania (JWTZ) kwa masikitiko makubwa linapenda kuwatangazia Wananchi wote kifo cha Jane Tumainieli mke wa Generali Tumainieli Kiwelu ambaye amefariki dunia tarehe 05  Aprili 2013 akipata matibabu katika Hospitali ya Apollo nchini India.

Mwili wa marehemu utawasili nchini tarehe 09 Aprili 2013 saa 08.55 mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere,Dar es Salaam.

Mazishi yanatarajiwa kufanyika nyumbani kwake Mbezi Louis Morogoro Road tarehe 10 Aprili 2013,  kuanzia saa 7.00 mchana.

Kwa taarifa za ziada wasiliana kupitia – Simu No: 0764-742161.

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
SLP 9203, Simu: 022 215056/62
Email:ulinzimagazine@yahoo.co.uk

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*