Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wazee na Wananchi alipowasili Skuli ya Kusini Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja  jana, kuifungua Nyumba ya Walimu,iliyojengwa na Jumuiya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,kwa ushirikiano na Jumuiya ya Bus 4 Afrika,ya nchini Sweden
   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuifungua Nyumba ya Walimu Skuli ya Kusini Makunduchi  jana, iliyojengwa na Jumuiya ya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,kwa ushirikiano na Jumuiya ya Bus 4 Afrika,yenye Makao Makuu yake nchini Sweden
   Katibu wa Jumuiya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja, Maalim Rashid Makame Shamsi, akisoma risala ya wanajumuiya wakati wa sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu,Skuli ya Kusini Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
   Mwakilishi wa Jumuiya ya Bus 4 Afrika yenye Makao Makuu yake Nchini Sweden Bibi Hannah Mc Carrick,akitoa salam wakati wa Sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Skuli ya Kusini Makunduchi,iliyojengwa na Jumuiya hiyo na Ushirikiano wa Jumuiya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja, iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wananchi na Wanajumuiya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,Wilaya ya Kusini Unguja, wakati wa Sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Skuli ya Kusini Makunduchi, iliyojengwa na Jumuiya ya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,kwa ushirikiano na Jumuiya ya Bus 4 Afrika ya Sweden,
   Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Ali Juma Shamuhuna,akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuzungumza na Wananchi na Wanajumuiya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,Wilaya ya Kusini Unguja, wakati wa Sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Skuli ya Kusini Makunduchi,
  Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu,Skuli ya Kusini Makunduchi iliyojengwa na Jumuiya ya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,kwa ushirikiano na Jumuiya ya Bus 4 Afrika,ya nchini Sweden,wakifuatilia kwa makini harakati za sherehe hiyo ilivyoendelea katika viwanja vya skuli hiyo jana.Picha na Ramadhan Othman, IKULU-Zanzibar

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA