TAWI JIPYA LA YANGA MTAA WA SAMORA DAR LAZINDULIWA

 Mmoja wa wanachama wapya wa Tawi la Yanga la Mtaa wa Samora, Dar es Salaam akikabidhiwa kadi ya uanachama katika hafla iliyofanyika jioni hii NBC Club.Picha zinazofuata ni wanachama wa tawi hilo wakikabidhiwa kadi zao.






Wanachama wa Tawi jipya la Yanga la Mtaa wa Samora wakionesha kadi zao walizokabidhiwa katika hafla iliyofanyika jioni ya leo NBC Club, Dar es Salaam. Waliokaa mstari wa mbele kutoka kulia ni; Mwenyekiti wa tawi hilo, Said Mzuzuri, Katibu Mkuu, Abdalah Mnaleke na  Francis Gato ambaye ni mweka hazina wa tawi hilo. (PICHA NA DOTTO MWAIBALE)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA