TBL YAKABIDHI KISIMA CHA SH. MIL. 51 KIJIJI CHA MAKANYA,SAME


Mhandisi wa Kampuni ya Dr Gogo engineering limited, Godwin Kalaghe (kulia), akimkabidhi Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo nyaraka za taarifa za kukamilika kwa ujenzi wa kisima cha maji katika Kijiji cha Makanya, wilayani Same juzi. Ujenzi wa kisima hicho uliogharimu sh. mil. 51.6 ulifadhiliwa na TBL.
 Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo akisaidia kumtwisha ndoo ya maji mkazi wa Kijiji cha Makanya, wilayani Same, Asia Zuberi ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mradi wa kisima cha maji kwa msaada wa TBL kwa gharama ya sh. mil. 51.6. Hafla hiyo ilifanyika kijijini hapo juzi.
 Mradi wa kisima cha maji kilichofadhiliwa na kampuni ya bia Tanzania katika kijiji cha Makanya wilayani Same chenye thamani ya shilingi milioni 51.6.Uwepo wa kisima hiki utasaidia kupunguza tatizo la maji
hususani kwa wakazi wa Tambarare katika wilaya ya Same.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.