TUZO YA WANAHABARI BORA 2012 YAFANA


Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa), Juma Pinto (kushoto) akimtunukia Abdalah Majula ambaye alikuwa mwandishi  bora wa habari za michezo kwa upande wa magazeti

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Executive Solutions, Aggrey Marealle (kushoto) akimkabidhi mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi, tuzo ya uamndishi bora wa habari za Ukimwi, Freddy Azar katika hafla ya kuwatunukia waandishi wa habari mahiri 2012, Dar es Salaam
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Seif Shariff Hamad akimpatia zawadi ya sh,mil 10 Hamza Kasongo kwa kutunukiwa tuzo ya mafanikio katika maisha.
 Mshindi wa jumla wa tuzo za waandishi bora wa habari Tanzania, Lucas Liganga (kushoto) wa gazeti la The Citizen, akipongezwa na Neville Meena wa gazeti dada la Mwananchi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*