WARATIBU WA MIKOA WAKITATHMINI MCHAKATO WA UCHAGUZI WA WAJUMBE WA MABARAZA YA KATIBA YA WILAYA

Mratibu wa Mkoa wa Shinyanga katika mchakato wa upatikanaji wa Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya, Godfrey Kajia akizungumza katika kikao cha tathimini baina yao na Wajumbe wa Sekreatarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba kilichofanyika katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam leo jumamosi (April 27, 2013).
 Mratibu wa Mkoa wa Ruvuma katika mchakato wa upatikanaji wa Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya, Christina Kumwenda akizungumza katika kikao cha tathimini baina yao na Wajumbe wa Sekreatarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba kilichofanyika katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam leo jumamosi (April 27, 2013).
 
Mratibu wa Mkoa wa Pwani katika mchakato wa upatikanaji wa Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya, Mohamed Magati akizungumza katika kikao cha tathimini baina yao na Wajumbe wa Sekreatarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba kilichofanyika katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam leo jumamosi (April 27, 2013).
 Waratibu wa mchakato wa upatikanaji wa Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya katika mikoa 30 ya Tanzania, wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Uratibu katika Tume, Joseph Ndunguru (wa pili kulia, mstari wa mbele) mara baada ya kumalizika kwa kikao chao kilichofanyika katika ofisi za Tume Jijini Da re s Salaam leo (Jumamosi April 27, 2013).Picha na Tume ya Katiba

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*