WASHINDI ZAIDI WA MAHELA VODACOM WAPATIKANA

 .Meneja uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu akiongea kwenye simu na mmoja wa washindi aliejishindia shilingi Milioni moja  katika  Promosheni ya”MAHELA”inayoendeshwa na kampuni hiyo,wanaoshuhudia katikati ni Meneja wa huduma za ziada wa kampuni hiyo,Bw.Benjamin Michael na Msimamizi wa Michezo ya kubahatisha nchini Abdallah Hemedy. Zaidi ya shilingi Milioni 152 bado zinaendelea kushindaniwa, Mteja anatakiwa kutoma neno MAHELA kwenda namba 15544 ili aweze kujinyakulia fedha taslimu
Msimamizi wa Michezo ya kubahatisha nchini Abdallah Hemedy, akionesha moja ya namba ya simu ya mshindi wa Promosheni ya”MAHELA”aliejishindia kitita cha shilingi Milioni moja, katikati ni Meneja wa huduma za ziada wa Vodacom Tanzania,Bw.Benjamin Michael na  Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Bw.Matina Nkurlu. Zaidi ya shilingi Milion 152 bado zinaendelea kushindaniwa,Mteja anatakiwa kutoma neno MAHELA kwenda namba 15544 ili aweze  kujishindia fedha taslimu.  

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.