WAZIRI SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI BI. DIANNE MELROSE KWA MAZUNGUMZO
Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akizungumza na Balozi
wa Uingereza Nchni Tanzania, Diana Melrose, wakati alipofika Ofisini kwa
Waziri Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam, leo Aprili 24, 2013 kwa
mazungumzo. Picha na Ali Meja
Comments