WENGI WAJIUNGA CCM MOROGORO VIJIJINI

Wanachama wapya wa CCM wenye jamii ya kimasai wakinyoosha juu kadi zao baada ya kukabidhiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (hayupo pichani) katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo jioni kati Uwanja wa Shule ya Msingi Mvuha, Wilaya ya Morogoro Vijijini. (PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
 Kinana akimpatia mmoja wa wanachama wapya kadi ya uanachama wa CCM leo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Mvuha.
Baadhi ya wazee wafuasi wa CCM, wakisikiliza kwa makini wakati Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye katika mkutano huo wa hadhara.
 Mmoja wa wafuasi wa CCM akisikiliza kwa makini katika mkutano huo
 Kinana akitembelea shamba darasa la wakulima wa Wilaya ya Morogoro Vijijini. Shamba hilo lipo chini ya Shirika la Korea la KOICA wanaotoa mafunzo hayo.
 Kinana akiangalia mifagio inayotengenezwa na Hamza Waziri alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ya kuimarisha uhai wa CCM, eneo la Mkuyuni, Morogoro  Vijijini.
 Ndugu Kinana, akiweka mchanga kwenye ndoo alipokuwa anasaidia ukarabati wa majengo ya Zahanati ya Mkuyuni wilayani humo.
 Wafuasi wa CCM wakishangilia walipokuwa wakimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Kinana katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Mkuyuni.
 Kinana akimpatia kadi ya uanachama mwanachama mpya wa chama hicho eneo la Mkuyuni
 Ndugu Kinana akitembelea maendeleo ya ujenzi ya Kituo cha Mafunzo ya Ufugaji wa kuku, mbuzi na ng'ombe unaofanywa na Shirika la Korea la Koica eneo la Pangawe, Morogoro vijijini.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.