Yatosha Concert lilivyofunika mkoani Morogoro jana

Wasanii wa kundi la Vichekesho la Kinoko lenye maskani yake Kinondoni jijini Dar, wakiwakilisha wakati wa tamasha la utangulizi maalum kwa Uzinduzi wa huduma ya AIRTEL Yatosha lililofanyika mkoani Morogoro jana.
Jukwaani ni mmoja wa wasanii chipukizi wa mkoni Morogoro akiwakilisha wakati Airtel wapolifanya tamasha maalum la uzinduzi wa huduma ya Airtel Yatosha mjini humo jana.
Wakazi wa Morogoro waliendelea kujitokeza kwa wingi jukwaani kujiunga na huduma ya Airtel Yatosha kwa Kupiga namba *149*99#,na kupokelewa vyema na wakazi wa mji huo jioni ya jana.
Wakazi wa Morogoro walijitokeza kwa wingi jukwaani kujiunga na huduma ya Airtel yatosha kwa Kupiga namba *149*99#.
Sehemu ya umati wa watu waliojitokeza viawanja vya shule ya msingi Sabasaba kushuhudia shamra shamra za uzinduzi wa maalum wa huduma ya AIRTEL Yatosha mjini morogoro
======== ======= ======= ====

Airtel yatosha yapokelewa kwa kishindo na umati wa wakazi wa morogoro waliojitokeza kwa wingi jana katika viwanja vya Sabasaba vilivyopo mjini morogoro wakati Airtel ilipofanya tamasha la utangulizi leo na kutumbuizwa na wasanii wa kundi la Vichekesho la KINOKO lenye maskani yake toka jijini Dar es salaam
Akiongea wakati wa tamasha hilo la Utangulizi meneja uhusino wa Airtel Jackson Mmbando alisema “Airtel YATOSHA imefanikiwa kupunguza gharama za mawasiliano nchini hivyo tumeamua kuingia Morogoro kwa kishindo kuanza matamasha yetu ya kutoa elimu kuhusu huduma hii ya Airtel yatosha ili wananchi waitumie na kufaidika zaidi” alisema.
Zaidi zaidi pia tumejipanga kutoa burudani kwa wananchi kwa kufanya matamsha haya ambapo tutazunguka kila pande waliko wateja wetu ili pia kuendeleza ushkaji wetu na wateja wetu nchini Tanzania.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.