BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA MILIONI 10 KWA WAHANGA WA BOMU ARUSHA

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh. Milioni 10 kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Mahusiano Biashara za Serikali NMB, Domina Feruzi kwa ajili ya wahanga wa bomu lililotokea hivi karibuni katika Kanisa la Mtakatifu Joseph ikiwa ni msaada wa benki ya NMB. viewer 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimshukuru Meneja Mwandamizi wa  Masoko na Chapa NMB Rahma Mwapachu baada ya kupokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh. Milioni 10 kutoka NMB kama msaada kwa wahanga wa bomu Arusha.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*