CCM YAKASIRISHWA ULIPUAJI BOMU KANISANI ARUSHA

*YATAKA WAL IOHUSIKA WAPATIKANE NA KUPEWA ADHABU KALI YA MFANO

DODOMA Tanzania
CCM imeelezea kustushwa na tukio la kigaidi lililotoke kwakulipuliwa bomu wakati wa uzinduzi wa kanisa jijini Arusha jana.

Katika tamko lilitolwa na katibu mkuu wa CCM Abdulrahmani Kinana leo mjiniDodoma amesema  ni lazima na an uhakika kwwamba serikali itatumia ujuzi na uwezo wake woe kuhakikisha waliohusika woote wanatiwa nguvuni na kup ewa adhabu kali   ambayo itakuwa mfano kwa yeyote au kikundi chenye lengo la kutenda ugaidi kaka huo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA