HUYU NDIYE HASHIM THABEET

Mtanzania Hasheem Thabeet(pichani katikati) hivi sasa anazidi kutamba na kujiimarisha katika kuwa mmojawapo kati ya wanamichezo wazaliwa wa Afrika waliopo nchini Marekani ambao wanafanya vizuri katika anga za michezo nchini humo.Hasheem anasoma katika Chuo Kikuu Cha Connecticut akichezea timu yao maarufu ya mpira wa kikapu(basketball) ijulikanayo kama Connecticut Huskies.
Hata hivyo Hasheem ametoka mbali kama ambavyo unaweza kuona katika picha hiyo hapo juu.Hapo bado alikuwa jijini Dar akiwa na wasanii wa muziki wa kizazi kipya,Mandojo na Domokaya.BC inamtakia Hasheem kila la kheri katika jitihada zake..

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.