JK AFUNGUA KIWANDA CHA KURUTUBISHA VYAKULA DAR

 .Rais Dkt.Jakaya Kikwete akikaribishwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha  Kutengeneza Mafuta cha Bidco Bw.Hemal Shah  wakati alipokwenda kufanya uzinduzi  rasmi wa kampeni ya uongezaji wa virutubishi  vya Vitamni A katika vyakula vinavyo zalishwa Viwandani katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Meck Sadick.

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza kwa makini Afisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha  Kutegeneza Mafuta cha Bidco,Bw.Hemal Shah  alipokuwa akielezea jinsi wanavyotengeneza bidhaa zao za mafuata zenye kuchanganywa na  virutubisho vyenye Vitamnini A. Wakati Rais alitembelea kiwanda cha Bidco  kilichopo Mikocheni jijini Dar es nSalaam, kuzindua rasmi Kampeni ya uongezaji wa virutubishi katika Vyakula vinavyo zalishwa Viwandani .
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni ya uongezaji wa virutubishi  vya Vitamni A katika vyakula vinavyo zalishwa Viwandani,Uzinduzi huo ulifanyika katika kiwanda cha kuzalisha mafuta cha Bidco kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
 ais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimimina  mafuta ya virutubishi  katikia kinu cha kutengeneza mafuata ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa Kampeni ya Uongezaji wa Virutubishi vya Vitamini A katika Vyakula vinavyozalishwa  viwandani ,uzinduzi huo ulifanyika jana katika Kiwanda cha Bidco  kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam, kushoto anayeshuhudia ni Afisa Mkuu Mtendaji wa Kiwanda hicho Hemal Shah.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi zawadi ya ndoo ya mafuta yenye Virutubishi  yaliyozailishwa na nKiwanda cha Bidco Mkurugenzi Mkuu wa Chakula na Lishe Bw.Benedict Jeje wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya Uongezaji wa virutubishi katika Vyakaula vinavyo zalishwa Viwandani .Uzinduzi huo ulifanyika katika kiwanda cha Bidco kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam. katikati ni Afisa Mkuu Mtendaji wa Kiwanda hicho Hamal Shah.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia baadhi ya mafuta yenye Virutubishi yanayozalishwa katika kiwanda cha Bidco  kilichopo Mikocheni jijini Dar es Da es Saloaam.kulia ni Afisa Mkuu Mtendaji wa Kiwanda hicho Hamal Shah ,wakati alipokwenda kufanya nuzinduzi rasmi  wa Kampeni mya Uongezaji wa nVirutubishi katika Vyakaula vinavyozalishwa Viwandani.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa hafla hiyo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.