JK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM, LEO MJINI DODOMA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kufungua na kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo katika ukumbi wa Jengo la White House mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Philip Mangula.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao hicho cha Kamati Kuu ya CCM, leo mjini Dodoma.
Taswira kwenye kikao hicho cha Kamati Kuu ya CCM.BASHIR NKOROMO

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU