|
Mwenyekiti wa Kamati ya Timu ya soka ya Taifa (Taifa Stars), Mohamed Dewji (wa tatu kulia) pamoja na wajumbe wengine wa kamati hiyo wakiwakabidhi Meneja wa timu hiyo, Taso Mukebesi (kushoto) na Nahodha wa Taifa Stars, Juma Kaseja (wa pili kushoto) sh. mil. 30 kwa ajili ya kuwapa hamasa wachezaji na viongozi wa timu hiyo, Dar es Salaam . Kutoka kulia ni wajumbe wa kamati hiyo, Dk. Ramadhan Dau, Zitto Kabwe, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodger Tenga na Teddy Mapunda. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA) |
Dewji, Zitto na Dk. Dau wakijadili jambo kwenye hafla hiyo
Wachezaji wa Taifa Stars
|
Dewji akizungumza katika hafla hiyo kwa kuwahamasisha wachezaji kushinda mechi zote watakazokabiliana nazo |
Manoti hayooooooooo
Nahodha wa Taifa Stars Juma Kaseja akifurahi jambo na wajumbe wa kamati hiyo
|
Kaseja akitoa shukurani na kuahidi ushindi |
Mrisho Ngassa akitambulisha kwa wanakamati kwamba hivi sasa anachezea Yanga
|
Wachezaji wakisalimiana na wajumbe wa kamati |
|
Add caption |
|
Viongozi wa Taifa Stars wakisalimiana na wanakamati |
Kocha wa Taifa Stars akifurahia jambo na wanakamati baada ya kutetta
Kocha wa Taifa Stars Kim Poulsen akiteta jambo na wanakamati
Wachezaji wakipata mlo katika hotel ya Tansoma walikoweka kambi
Comments