KAMPUNI YA SIMU ZA MIKONONI YA TIGO YAKABIDHI VITABU ELFU MOJA SHULE ZA MSINGI KAKOLA A NA KAKOLA B WILAYANI KAHAMA MKOA SHINYANGA

 .Diwani wa kata ya Bulyanhulu wilayani Kahama Bw.Joseph Makoba akimkabidhi vitabu mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kakola  A, Bi.Joyce Lwanji kutoka kampuni ya simu za mikononi Tigo. Jumla ya vitabu elfu moja vilitolewa na kampuni ya Tigo katika  kuchangia elimu kwenye shule hiyo, kulia ni meneja wa Tigo kanda ya ziwa Bw. Joseph Mutalemwa.
 Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kakola A wilayani Kahama, Bi.Joyce Lwanji akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wake mara baada ya kupokea vitabu toka kampuni ya simu za mikononi Tigo jumla ya vitabu elfu moja vilitolewa na kampuini hiyo.
Diwani wa kata ya Bulyanhulu wilayani Kahama Bw.Joseph Makoba akimkabidhi vitabu mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kakola  B, Bw.Raphael Kirega kutoka kampuni ya simu za mikononi Tigo. Jumla ya vitabu elfu moja vilitolewa na kampuni ya Tigo  katika  kuchangia elimu kwenye shule hiyo, kulia ni meneja wa Tigo kanda ya ziwa Bw. Joseph Mutalemwa.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA