KINANA, NAPE WATINGA MKOA WA NJOMBE



 Wanachama wa CCM wakiimba wimbo kwa hamasa wakati wa  mapokezi  ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye, mpakani mwa Iringa na Njombe eneo la Idofi, Makambako leo.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akivishwa skafu wakati wa mapokezi hayo eneo la Idofi, Njombe.
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Njombe, Deo Sanga (kulia) akiwatambulisha kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abbdulrahman Kinana (wa pili kulia), Mbunge wa Mwibara, Kange Ligora (CCM),kushoto, na Mbunge wa  Ludewa, Deo Filikunjombe, wakati wa
mapokezi ya  ya Abdurahman na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hico, Nape  Nnauye, mpakani mwa Iringa na Njombe eneo la Idofi, Makambako leo. Viongozi hao watakuwa na ziara ya siku saba ya kuimarisha uhai wa chama katika mkoa wa Njombe.
(PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Mbunge wa Viti Maalum, Pindi Chana (kushoto), akijiunga kucheza wakati wa mapokezi hayo.
                                   Kinana akiangalia kikundi cha akina mama cha Tuimuane
 Nape akisaidia kupiga ngoma wakati kikundi cha Tuinuane kikitumbuiza wakati wa mapokezi
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (aliyevaa pama), akiwa na baadhi ya wanahabari walio katika msafara wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana
 Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakimshangilia Katibu Mkuu wa chama hicho,
Abdulrahman Kinana wakati wa mapokezi  mpakani mwa Iringa na Njombe eneo la Idofi, Makambako leo. Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye watakuwa na ziara ya siku saba ya kuimarisha uhai wa chama katika mkoa wa Njombe.
 Msfara wa Kinana ukiongozwa na waendesha pikipiki ulipokuwa ukiwasili Njombe Mjini
 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Njombe, wakipiga makofi kumkaribisha Katibu Mkuu, Kinana kwenye kikao Njombe Mjini leo


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.