MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI, MKOA WA DAR ES SALAAM

 Wafanyakazi wa sekta mbalimbali wakinyanyua juu mikono walipokuwa wakiimba wimbo wa mshikamano, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika kimkoa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Ilala, Dar es Salaam leo.
 Wafanyakazi wa Shirika la Afya Muhimbili wakionesha kumhudumia 'mgonjwa' wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika kimkoa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Ilala, Dar es Salaam leo.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Afya Muhimbili wakisubiri kwenda kwenye maadhimisho ya Mei Mosi
 Msafara wa Shirika la Afya Muhimbili ukiwa katika maandamano kwenda kwenye maadhimisho hayo
 Maandamano ya wafanyakazi
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick akihutubia wakati wa maadhimisho hayo
 Watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Vyakula na Dawa (TFDA)
 Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
 Msanii akionesha vimbwanga vyake
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick 9kulia) akimkabidhi cheti Ofisa Utumishi Msaidizi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), pamoja na zawadi ya sh. mil 1 baada ya kuibuka kuwa mfanyakazi bora.
 Viongozi mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja
Bendi ya Magereza 'wana Nkote Ngoma' wakitumbuiza wakati wa maadhimisho hayo.Elly Chinyama ambaye ni mtototo wa mwanamuziki marehemu Chinyama Chiaza, Mpiga drum, Bakari Kisi, ambaye ni mtoto wa Kisi Rajabu aliwahi kuwa  mwanamuziki wa Bendi ya Kilwa Jazz, Mpiga Ridhim Kassim Hassan, babake alikuwa mpiga ridhimu wa Magereza Jazz, Kassim Hssan. (PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.