Vijana wakiosha miguu ya wateja waliokuwa wanatoka Soko la Mahakama ya Ndizi lililojaa matope eneo la Mabibo, Dar es Salaam jana. Katika mradi huo uliobuniwa katika soko hilo lililokithiri kwa uchafu, huwapatia vijana hao fedha za kujikimu na maisha kwa kumlipisha kila anayeogeshwa sh 200. (PICHA ZOTE NA RAPHAEL GWASSA)
Mmoja wa wateja waliotoka sokono hapo akiogeshwa viatu vyake
Hali ya soko ilivyo
Kwa kweli hali inatisha na kuhatarisha afya za wakazi wa Jiji la Dar esa Salaam wanaokwenda kupata mahitaji hapo
Mteja akijiosha miguu baada ya kutoka sokoni hapo. Licha ya kujiosha lakini hulipishwa sh 200

Comments