NCHI 22 ZA AFRIKA ZAPATA DARASA JUU YA AMANI YA MTU BINAFSI JANA
Mtaalam
na mkufunzi wa masuala ya amani ya mtu binafsi kwa njia ya kutafakari
kutoka taasisi ya Art of Living, Chandrika Magaraja akitoa maelezo juu
ya amani ya mtu binafsi inavyoweza kupatikana kwa kutafakari wakati wa
kushiriki Mafunzo
hayo yalifanyika jana kwa njia ya video na kufanyika kwa wakati mmoja
kwa nchi 22 za Afrika na yaliongozwa na Kiongozi wa Art of Living
Duniani ambaye pia ni Balozi wa Amani Sri Sri Ravi Shankar ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Umoja wa Afrika (AU).
Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam walioshiriki katika katika
kutafakari ambayo ni njia bora na yapekee ya kuleta amani ya mtu
binafsi. Mafunzo hayo yalifanyika jana kwa njia ya video na kufanyika
kwa wakati mmoja kwa nchi 22 za Afrika na yaliongozwa na Kiongozi wa Art
of Living Duniani ambaye pia ni Balozi wa Amani Sri Sri Ravi Shankar ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Umoja wa Afrika (AU).
Balozi wa Jamhuri ya Djbout nchini Tanzania, Saidi Amin Shamo (kushoto) na Balozi
wa India hapa nchini, Debnath Shaw wakishiriki katika kutafakari ambayo
ni njia bora na yapekee ya kuleta amani ya mtu binafsi. Mafunzo hayo
yalifanyika jana kwa njia ya video na kufanyika kwa wakati mmoja kwa
nchi 22 za Afrika na yaliongozwa na Kiongozi wa Art of Living Duniani
ambaye pia ni Balozi wa Amani Sri Sri Ravi Shankar ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Umoja wa Afrika (AU).
Balozi wa Jamhuri ya Djbout nchini Tanzania, Saidi Amin Shamo (kushoto) Balozi
wa India hapa nchini, Debnath Shaw (katikati) na Mwakilishi na Mtaalam
na mkufunzi wa masuala ya Kutafakari kutoka Taasisi ya Art of Living,
Chandrika Magaraja wakishiriki katika kutafakari ambayo ni njia bora na
yapekee ya kuleta amani ya mtu binafsi. Mafunzo hayo yalifanyika jana
kwa njia ya video na kufanyika kwa wakati mmoja kwa nchi 22 za Afrika na
yaliongozwa na Kiongozi wa Art of Living Duniani ambaye pia ni Balozi
wa Amani Sri Sri Ravi Shankar ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Umoja wa Afrika (AU).
Wageni maalum katika mafunzo maalum ya ya amani ya Mtu bianfsi kwa njia ya kutafakari kutoka kulia Mwakilishi na Mtaalam na mkufunzi wa masuala ya Kutafakari kutoka Taasisi ya Art of Living, Chandrika Magaraja, Balozi wa India hapa nchini, Debnath Shaw, Balozi
wa Jamhuri ya Djbout nchini, Saidi Amin Shamo, Mke wa Balozi Shamo,
Mariam Shamo, Mke wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL)
Theresa Gannon na Mkurugenzi wa SBL, Steven Gannon, wakishiriki
katika kutafakari ambayo ni njia bora na yapekee ya kuleta amani ya mtu
binafsi. Mafunzo hayo yalifanyika jana kwa njia ya video na kufanyika
kwa wakati mmoja kwa nchi 22 za Afrika na yaliongozwa na Kiongozi wa Art
of Living Duniani ambaye pia ni Balozi wa Amani Sri Sri Ravi Shankar ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Umoja wa Afrika (AU).
Comments