NHIF YANOGESHA MAONESHO YA HIFADHI KWA UPIMAJI

1Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti, Raphael Mwamoto wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakati alipotembelea banda la NHIF ambalo linatoa huduma ya upimaji afya bure na elimu ya Bima ya Afya.
2Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na kitabu cha mtindo bora wa maisha ambacho kinafundisha namna ya kusihi ili kuepukana na maradhi yasiyoambukiza ambayo yanazidi kuongezeka kila kukicha.
3Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akifurahi jambo na Ofisa Elimu kwa Umma, Grace Michael alipotembelea banda la Mfuko.
4Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa NHIF, Raphael Mwamoto akitoa maelezo kwa Waziri wa Kazi na Ajira, Mama Kabaka na Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano, Samia Suluhu ambao pia walipata huduma ya upimaji wa afya zao.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.